Kenny Tete

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kenny Tete

Kenny Tete (alizaliwa Oktoba 9, 1995) ni mchezaji wa soka wa Uholanzi ambaye anacheza Olympique Lyonnais katika Ligue 1 ya Ufaransa, na timu ya taifa ya Uholanzi.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kenny Tete kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.