Nenda kwa yaliyomo

Kennedy Kiliku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kennedy Kiliku (alifariki Mei 20, 2010) alikuwa mwanasiasa wa Kenya hadi kifo chake. Kiliku alikuwa mwenyekiti wa chama cha kitaifa cha wafanyakazi Kenya (NLP). Pia alikuwa mbunge wa eneo bunge la Changamwe kuanzia 1983 hadi 1997, mdadisi na mkosoaji wa serikali.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The Standard - Breaking News, Kenya News, World News and Videos".
  2. Kitimo, Anthony (Mei 21, 2010). "Kenya politician Kiliku dies in Mombasa". Daily Nation. Iliwekwa mnamo Septemba 25, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)