Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Changamwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Changamwe ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Mombasa, likiwa miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo. Jimbo hili lina wodi nane na zote huchagua madiwani kwa baraza la munisipali ya Mombasa.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi wa 1969.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1969David M. KiokoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974Ferdinard MwaroKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979David M. KiokoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983Joseph Kennedy KilikuKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988Joseph Kennedy KilikuKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Joseph Kennedy KilikuKANU
1997Ramadhan Seif KajembeKANU
2002Ramadhan Seif KajembeNARC
2007Ramadhan Seif KajembeODM
Kata
Kata Wapiga Kura waliojiandikisha
Changamwe15,887
Jomvu Kuu8,457
Kipevu11,920
Mikindani11,718
Miritini7,903
Port Reitz14,980
Tudor Estate7,166
Tudor Four9,228
Jumla87,259
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]