Kenichi Fukui


Kenichi Fukui (4 Oktoba 1918 – 9 Januari 1998) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Japani. Hasa alichunguza mizunguko ya sehemu za atomu katika athari za kikemia. Mwaka wa 1981, pamoja na Roald Hoffman alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
![]() |
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kenichi Fukui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |