Nenda kwa yaliyomo

Katuruka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katuruka ni eneo la kiakiolojia la zama za Chuma. Ufinyanzi unaopatikana katika eneo hilo unaonekana kuwa wa aina ya Urewe, ambao pia unapatikana katika mikoa mingine ya bonde la Ziwa Victoria. Zaidi ya hayo, kuna uthibitisho kwamba teknolojia ya juu ya uyeyushaji chuma ulikuwepo katika milenia chache zilizopita KK.Ni eneo la kwanza linalojulikana la ufuaji chuma katika Afrika ya kati na kusini mwa Africa.[1][2]Eneo hili lipo katika Mkoa wa Kagera nchini Tanzania.[3][4][5]

  1. "Katuruka", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2023-09-26, iliwekwa mnamo 2024-10-12
  2. "Katuruka", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2023-09-26, iliwekwa mnamo 2024-10-12
  3. "Katuruka", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2023-09-26, iliwekwa mnamo 2024-10-12
  4. "Katuruka", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2023-09-26, iliwekwa mnamo 2024-10-12
  5. "Katuruka", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2023-09-26, iliwekwa mnamo 2024-10-12