Kathy Aoki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kathy Aoki ni msanii ambaye anafanya kazi katika njia nyingi tofauti, zikiwemo kazi za uchapishaji, sanaa ya video na naksi.

Kazi zake zipo katika sehemu tofauti kama katika makumbusho ya sanaa ya San Francisco, makumbusho ya sana katika Chuo Kikuu cha Harvard na pia katika jiji la Seattle.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Kathy Aoki". Feminist Art Base. Brooklyn Museum. Iliwekwa mnamo 5 September 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kathy Aoki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.