Kreta ya Embagai
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kasoko ya Embagai)
Kreta ya Embagai (pia Empakaai) ni kreta ya volkeno iliyopo kati ya Ziwa Eyasi na Ziwa Natron katika Mkoa wa Arusha, nchini Tanzania.
Mlima una kimo cha mita 2,666 juu ya usawa wa bahari. Katikati ya kreta kuna ziwa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Orodha ya volkeno nchini Tanzania
- Orodha ya milima ya mkoa wa Arusha
- Orodha ya milima ya Tanzania
- Orodha ya milima ya Afrika
- Orodha ya milima
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kreta ya Embagai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |