Kasim Nuhu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kasim Nuhu

Kasim Adams Nuhu (anajulikana kama Kasim; alizaliwa 22 Juni 1995 ) ni mchezaji wa soka wa Ghana ambaye anacheza katika klabu ya Ujerumani 1899 Hoffenheim kama beki wa kati.

Young Boys[hariri | hariri chanzo]

Alikuwa miongoni mwa kikosi cha vijana wa Young Boys ambao walishinda katika kombe la Swiss Super League na Kasim Nuhu baadaye aliweza kuhamia katika klabu ya 1899 Hoffenheim.

1899 Hoffenheim[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 25 Julai 2018, ilitangazwa kwamba Kasim Nuhu amejiunga na klabu ya 1899 Hoffenheim katika mkataba wa miaka mitano (5).

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 10 Oktoba 2017 Kasim alifunga goli lake kimataifa na timu ya taifa ya Ghana dhidi ya Saudia.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kasim Nuhu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.