Nenda kwa yaliyomo

Kanuni ya Mwalimu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kanuni ya Mwalimu (kwa Kilatini Regula Magistri) ni kanuni ya kitawa iliyoandikwa na mmonaki asiyejulikana mwanzoni mwa karne ya 6 katika Italia ya kati.

Ilitumiwa sana na Benedikto wa Nursia katika kutunga kanuni yake iliyoenea haraka kote katika Kanisa la Kilatini.

  • Corbett, Philip B. (1958). The Latin of the Regula Magistri: with particular reference to its colloquial aspects / a guide to the establishment of the text. Louvain: Université catholique.
  • Eberle, Luke (1977). The rule of the Master - Regula magistri (an English translation). Kalamazoo, Mich.: Cistercian Publications.
  • Knowles, David (1964). Great historical enterprises. Problems in monastic history. London; New York: Nelson.


Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kanuni ya Mwalimu kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.