Kanuni
Mandhari
Kanuni ni taratibu zilizotungwa na binadamu ambazo ni lazima kutimizwa.
Taratibu hizi zinaweza kuwa za afya, uchumi, biashara, kilimo, dini n.k.
Mfano wa kanuni za afya:
- Nawa mikono kabla au baada ya kula kwa maji safi na salama.
- Nawa mikono kila baada ya kutoka chooni.
- Osha tunda kwa maji safi kabla ya kulila.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |