Kantrili
Mandhari
Kontrili ni kijiji cha wilaya ya Jhelum, mkoa wa Punjab, Pakistan.
Tamaduni
[hariri | hariri chanzo]Kontrili inajulikana kwa mila za kitamaduni, kama vile kuvuna mazao, kila mwaka, katika wikendi ya tatu ya mwezi Februari, mela maarufu hufanyika. Maelfu ya watu na viongozi hudhuria tukio hili.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kantrili kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |