Kamba War
Mandhari
Neno Vita vya Kamba limetumiwa na wanahistoria kurejelea mgogoro wa wakamba na jamii zinazoishi karibu, kwa sasa inajulikana kama Bagamoyo, nchini Tanzania.[1][2] Imesemekana kuwa shambulizi la Kamba lililazimisha jamii zinazoishi katika eneo hili kuungana kwaajili ya kupambana na maadui zao na hivyo huo muungano ulipelekea kuundwa kwa kabila la Wazaramo. Kwa sasa Wazaramo ndio kabila kubwa zaidi katika mikoa inayozunguka Dar es Salaam nchini Tanzania.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [2] Jerman, Helena (1997). Between Five Lines: The Development of Ethnicity in Tanzania with Special Reference to the Western Bagamoyo District. Finland: Nordic Africa Institute. p. 134. I
- ↑ Owens, Geoffrey Ross (2012-04-01). "The Kamba War: Foundation Narratives, Ethnogenesis, and the Invention of the Zaramo in Precolonial East Africa". Ethnohistory (kwa Kiingereza). 59 (2): 353–385. doi:10.1215/00141801-1536912. ISSN 0014-1801.
- ↑ Fabian, Steven (2019). Making Identity on the Swahili Coast: Urban Life, Community, and Belonging in Bagamoyo. Cambridge: Cambridge University Press. p. 41. ISBN 9781108492041.