Nenda kwa yaliyomo

Kaiso, Uganda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani eneo la Kaiso Uganda
majira nukta (1 ° 31'48.0 "N, 30 ° 57'58.0" E (Latitude: 1.5300; Longitude: 30.9661)

Kaiso ni kijiji katika Magharibi mwa Uganda.

Mhali ilipo

[hariri | hariri chanzo]

Kaiso ipo katika mwambao wa mashariki mwa Ziwa Albert katika wilaya ya Hoima. Ipo takriban kilimita 61 sawa na maili 38 umbali kwa barabara kutokea magharibi mwa makao makuu ya wilaya huko Hoima kando ya Barabara ya Hoima – Kaiso – Tonya.[1] Pia ni takriban kilomita 258 sawa na maili 160 umbali kwa barabara kutokea kaskazini magharibi mwa Kampala ambao ni mji mkuu wa Uganda na jiji kubwa zaidi.[2], Ikiwa na majira nukta (1 ° 31'48.0 "N, 30 ° 57'58.0" E (Latitude: 1.5300; Longitude: 30.9661)).[3]

  1. GFC, . (23 Agosti 2015). "Road Distance Between Hoima And Kaiso With Map". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 23 Agosti 2015. {{cite web}}: |first= has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. GFC, . (23 Agosti 2015). "Map Showing Kampala And Kaiso With Route Marker". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 23 Agosti 2015. {{cite web}}: |first= has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Kigezo:Google maps