Nenda kwa yaliyomo

Kaizari Maximian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kaisari Maximiano)
Sarafu inayomwonyesha Kaizari Maximian

Marcus Aurelius Valerius Maximianus Herculius (takriban 250 – Julai 310) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma pamoja na Diokletian kuanzia 1 Machi 286 hadi 1 Mei 305 alipojiuzulu kwa shauri la Diokletian.

Upande wa Roma Magharibi alimfuata Numerian.

Alijitangaza tena kaizari mwishoni mwa mwaka 306 hadi alipojiuzulu tarehe 11 Novemba 308.

Mwaka 310 alijaribu tena, lakini alishindwa na mkwe wake Konstantino Mkuu aliyemlazimisha kujiua.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Maximian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.