Kadeisha Buchanan
Mandhari
Kadeisha Buchanan (anajulikana kama Keisha; alizaliwa 5 Novemba 1995) ni Mkanada mchezaji wa soka wa Olimpiki katika kikosi cha kwanza cha wanawake. Pia ni mwanachama wa timu ya wanawake ya taifa ya mpira wa miguu. Alizaliwa Toronto na kukulia Brampton,Ontario. Ni mdogo kati ya familia ya watoto wa kike saba waliokuzwa na mzazi mmoja nyumbani na alikuwa na miaka 17 tu alipojiung na timu ya taifa ya mpira wa miguu hapo januari 12,2013.Buchanan ni mshindi mara tatu wa mpira wa miguu kanada wa mwaka alitwaa ushindi miaka ya 2015,2017 na 2020.[1]mwaka 2015 kombe la wanawake la mpira wa miguu.Na alishinda FIFA miongoni mwa wachezaji wadogo.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Kadeisha Buchanan", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-12-05, iliwekwa mnamo 2021-12-08
- ↑ "Kadeisha Buchanan", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-12-05, iliwekwa mnamo 2021-12-08