Nenda kwa yaliyomo

Kaakaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paa la kinywa.

Kaakaa ni sehemu ya juu ya kinywa, iwe

  1. ile iliyopo kati ya fizi na uwazi wa pua, au
  2. ile inayotenganisha eneo la kutamkia sauti nazali na sauti nyingine (ufizi juu unaoitwa pia ufizi kaakaa).

Hiyo ya pili inatofautishwa tena kati ya

  1. kaakaa gumu (paa la kinywa) na
  2. kaakaa laini (ambalo mishipa yake hufunika mvungu nazali wakati wa kumeza kitu au kusema).
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaakaa kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.