Jurgen Klinsmann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Klinsmann mwaka 2019

Jurgen Klinsmann (alizaliwa katika nchi ya Ujerumani 30 Julai 1964) ni mchezaji wa mpira wa miguu, kama mchezaji ameshachezea klabu mbalimbali kama vile Inter Milan, AC Monaco, Tottenham Hotspur, Bayern Munich, Sampodoria n.k. Ni moja kati ya wachezaji wa Ujerumani Magharibi walioshida michuano ya kombe la dunia mwaka 1990 pamoja na michuano ya UEFA Champions league mwaka 1996. Na kama meneja aliisimamia timu ya taifa la Ujerumani kushika nafasi ya tatu katika michuano ya kombe la dunia 2006 na ameshazisimamia timu kama Ujerumani, Bayern Munich, United state na Hertha BSC.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jurgen Klinsmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.