Junna wa Japani
Mandhari
Junna (mnamo 785 – 11 Juni, 840) alikuwa mfalme mkuu wa 53 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Otomo, na alikuwa mwana wa tatu wa Tenno Kanmu. Mwaka wa 823 alimfuata kaka yake, Tenno Saga, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 833. Aliyemfuata kama Tenno ni mpwa wake, Ninmyo.
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Junna wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |