Jungfrau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jungfrau ni mlima wa Alpi katika nchi ya Uswisi (Ulaya).

Urefu wake ni mita 4,158 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jungfrau kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.