Sphinx Observatory

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kituo cha astronomia cha Sphinx.

Sphinx Observatory ni paoneaanga palipo juu ya mlima Jungfraujoch nchini Uswisi. Kituo hiki kinapatikana katika meta 3,571 juu ya usawa wa bahari.

Kimepewa jina la Sphinx, kutokana na mkutano wa mawe mahali kilipo.

Kituo hiki kimetumika pia kuigizia katika filamu kama The Grand Budapest Hotel na Krrish 3.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.