Jumeirah Beach Hotel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jumeirah Beach Hotel ni hoteli ya nyota 5 mjini Dubai, United Arab Emirates. Hoteli hii, iliyofunguliwa mwaka 1997, inasimamiwa na kampuni inayoitwa Jumeirah. Hoteli hii ina vyumba 598 na nyumba 19. [1] Hoteli hii ina umbo la wimbi la bahari, inayotangamana na Burj Al Arab, iliyojengwa kama dau iliyo karibu na Jumeirah Beach Hotel.


Hoteli hii iko karibu na bahari. Wageni wa hoteli hii wana jumla ya bahari 33,800 square metres (364,000 sq ft) ambayo wanaweza kutumia. Kando ya hoteli hii kuna Wild Wadi Water Park. Wageni wote katika hoteli hii wanaweza kwenda kuogelea Wild Wadi.

Wakati ilipomalizwa mnamo 1997, Jumeirah Beach Hotel ilikuwa jumba la 9 refu zaidi mjini Dubai. [2] Leo, iko chini ya jumba la 100 kwa urefu. [3] Licha ya namba yake ya chini, hoteli inabakia kuwa nembo ya Dubai.


Hifadhi ya picha[hariri | hariri chanzo]


Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Jumeirah Beach Hotel Guest Services. Jumeirah. Iliwekwa mnamo 2008-01-21.
  2. Dubai Buildings Diagram: 1997. SkyscraperPage.com. Iliwekwa mnamo 2008-01-21.
  3. Dubai Buildings Diagram: 2007. SkyscraperPage.com. Iliwekwa mnamo 2008-01-21.


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]