Jumba la Sinema

Jumba la sinema katika Australia.
Jumba la Sinema (kutoka kiing.: movie theatre), mara nyingi hundikwa theater. ni mahala pa kuonyeshea sinema au filamu mbambali kwa kutumia kiwambo kikubwa (au screen). Watu watakaoingia kuangalia filamu kawaida huwa wanakaa katika viti. Sinema zenye vioo vingi mara nyingi huita "multi-plex" au "mega-plex" (endapo itakuwa na zaidi ya viwambo 10).