Juma Abdul Mnyamani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Juma Abdul Mnyamani (amezaliwa 24 Novemba 1992) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya Yanga Sc ya Tanzania na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars.

Juma anacheza nafasi ya beki wa kulia.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juma Abdul Mnyamani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.