Nenda kwa yaliyomo

Juliette Lewis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Juliette Lewis
Lewis mnamo 2010
Lewis mnamo 2010
Jina la kuzaliwa Juliette L. Lewis
Alizaliwa 21 Juni 1973
Marekani
Kazi yake Mwanamuziki
Mwigizaji
Ndoa Stephen Berra (1999-2005)

Juliette L. Lewis (amezaliwa tar. 21 Juni 1973) ni mshindi wa tuzo ya Academy kama mwigizaji-mwanamuziki bora kutoka nchini Marekani.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Lewis alizaliwa mjini Los Angeles, California. Baba yake ni mwigizaji wa filamu Geoffrey Lewis na mama yake, Glenis Batley, ni graphic designer. Wazazi wake na Lewis walitarikiana akiwa na umri wa miaka miwili. Ana ndugu wawili wa kiume na wawili wa kike, Lightfield na Peter, Dierdre na Brandy. Mjombawake na Lewis ni mtunzi wa nyimbo, hayati Peter Tod Lewis. Lewis alikuwa na shauku ya kutaka kuwa mwigizaji, tangu akiwa na umri wa miaka sita, na akabahatika kuwa mwigizaji wa tamthilia za katika TV akiwa na umri wa miaka kumi na miwili.

Filamu alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]
 • 1987 - I Married Dora (Mfululizo wa katika TV)
 • 1987 - Home Fires (TV)
 • 1988 - My Stepmother Is an Alien
 • 1989 - National Lampoon's Christmas Vacation
 • 1989 - Meet the Hollowheads
 • 1989 - The Runnin' Kind
 • 1990 - A Family for Joe (Mfululizo wa katika TV)
 • 1990 - Too Young to Die? (1990)
 • 1991 - Cape Fear
 • 1991 - Crooked Hearts
 • 1992 - That Night
 • 1992 - Husbands and Wives
 • 1993 - What's Eating Gilbert Grape
 • 1993 - Romeo Is Bleeding
 • 1993 - Kalifornia
 • 1994 - Mixed Nuts
 • 1994 - Natural Born Killers
 • 1995 - Strange Days
 • 1995 - The Basketball Diaries
 • 1996 - The Evening Star
 • 1996 - From Dusk Till Dawn
 • 1996 - The Audition
 • 1998 - Some Girl
 • 1999 - The Other Sister - Carla Tate
 • 1999 - The 4th floor
 • 2000 - Room to Rent
 • 2000 - The Way of the Gun
 • 2001 - Picture Claire
 • 2001 - My Louisiana Sky (TV)
 • 2001 - Gaudi Afternoon
 • 2002 - Enough
 • 2002 - Armitage: Dual Matrix (V)
 • 2002 - Hysterical Blindness (TV)
 • 2003 - Cold Creek Manor
 • 2003 - Free for All (Mfululizo wa katika TV)
 • 2003 - Old School
 • 2004 - Blueberry
 • 2004 - Renegade
 • 2004 - Starsky & Hutch
 • 2004 - Chasing Freedom (TV)
 • 2005 - Daltry Calhoun
 • 2005 - The Darwin Awards
 • 2005 - Lightfield's Home Videos
 • 2005 - Aurora Borealis
 • 2005 - Grilled
 • 2006 - My Name Is Earl "The Bounty Hunter" sinema
 • 2007 - Catch and Release
 1. http://www.blender.com/guide/articles.aspx?ID=2295&src=blender_ed Archived 10 Februari 2007 at the Wayback Machine. Blender. Retrieved on 2007-06-06.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons