Juan Rodríguez Cabrillo
Mandhari
Juan Rodríguez Cabrillo (1497 – 3 Januari 1543) alikuwa mpelelezi wa majini kutoka Ureno anayejulikana zaidi kwa uchunguzi wake wa Pwani ya Magharibi ya Amerika Kaskazini, alioufanya kwa niaba ya Dola la Hispania.
Alikuwa Mzungu wa kwanza kuchunguza eneo la sasa la California, akielea kando ya pwani ya California mwaka 1542–1543 katika safari yake kutoka Hispania Mpya (Mexico ya leo).[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Hererra y Todesillas, Antonio de (1601–1615). Historia general de los hechos de los castellanos en las Islas i Tierra firme del Mar Océano. Madrid: En la Empr. Real. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Novemba 14, 2015. Iliwekwa mnamo Oktoba 19, 2015.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Moriarty, James Robert (1978). Explorers of the Baja and California Coasts. Cabrillo Historical Association. uk. 52.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Juan Rodríguez Cabrillo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |