Josh Duhamel
Mandhari
Josh Duhamel | |
---|---|
Josh mnamo 2009 | |
Amezaliwa | Joshua David Duhamel Novemba 14 1972 Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1999-hadi leo |
Ndoa | Fergie (2009-hadi leo) |
Josh Duhamel (amezaliwa tar. 14 Novemba 1972) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani.
Filamu
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Filamu | Kama | Maelezo |
---|---|---|---|
2004 | The Picture of Dorian Gray | Dorian Gray | |
2004 | Win a Date with Tad Hamilton! | Tad Hamilton | |
2006 | Turistas | Alex | |
2007 | Transformers | William Lennox | |
2009 | Transformers: Revenge of the Fallen | William Lennox | |
2010 | The Romantics | Tom | |
2010 | When in Rome | Nick Beamon | |
2010 | Ramona and Beezus | Hobart | |
2010 | Life as We Know It | Eric Messer | |
2011 | Transformers: Dark of the Moon | William Lennox | |
2011 | New Year's Eve | Sam Ahern | |
2012 | Fire with Fire | Jeremy Coleman | |
2013 | Safe Haven | Alex |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Josh Duhamel at the Internet Movie Database
- Josh Duhamel katika All Movie Guide
- josh_duhamel katika People.com
- Josh Duhamel on Twitter
- Josh Duhamel katika MySpace
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Josh Duhamel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |