Joseph Pulitzer
Mandhari
Joseph Pulitzer | |
Amekufa | 29 Oktoba 1911 South Carolina, Marekani |
---|---|
Kazi yake | Mwanahabari, Wakili, Mwanajeshi. |
Dini | Myahudi |
Ndoa | Katherine "Kate" Davis |
Joseph Pulitzer (10 Aprili 1847 – 29 Oktoba 1911) alikuwa mhariri wa magazeti nchini Marekani; lakini alizaliwa nchi ya Hungaria. Alinunua magazeti mbalimbali na kusimamia uhariri wao.
Katika hati ya wasia yake alisaidia kuanzisha Idara ya Uandikaji Habari ndani ya Chuo Kikuu cha Columbia iliyofunguliwa mwaka wa 1912.
Tangu mwaka 1917, chuo hicho kimetoa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya maandishi bora.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joseph Pulitzer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |