Joseph Attamah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Joseph Attamah.

Joseph Larweh Attamah (alizaliwa 22 Mei 1994) ni mchezaji wa soka wa Ghana ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Uturuki iitwayo İstanbul Başakşehir F.K.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa Ghana, Attamah alianza kazi yake na klabu ya vijana wa Tema ya ambapo alicheza mechi 15 za Ligi Kuu bila faida.

Mnamo Agosti 2014 alihamia nje ya nchi kwa mara ya kwanza kujiunga na klabu ya Adana Demirspor nchini Uturuki.

Kazi ya Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Attamah sasa anacheza rasmi katika timu ya taifa ya Ghana; alicheza katika Kombe la Dunia la Jumuia ya Madola mwaka 2013, akifunga goli moja.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Attamah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.