Jose Callejon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jose Callejon

Jose Callejon (amezaliwa tarehe 11 Februari mwaka 1987) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza klabu ya Italia S.S.C. Napoli kama mshambuliaji au winga.

Alikuwa mchezaji wa klabu ya Real Madrid. Mwaka 2011 alirudi kwenye timu yake ya awali na, miaka miwili baadaye, akaenda kwa Napoli.

Callejón aliyekuwa wa chini ya miaka 21 ya kimataifa, alifanya mechi yake ya kwanza kwa Hispania mwaka 2014.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jose Callejon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.