Jose Bosingwa
Mandhari
Senior career* | |||
---|---|---|---|
Miaka | Timu | Apps† | (Gls)† |
2000-2001 | Freamunde | 11 | (0) |
2001-2003 | Boavista | 55 | (0) |
2003-2008 | FC Porto | 139 | (3) |
2008- | Chelsea Fc | 104 | (3) |
Timu ya Taifa ya Kandanda | |||
2007 | Timu ya taifa ya soka ya Ureno | 24 | (0) |
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only. † Appearances (Goals). |
Jose Bosingwa (amezaliwa 24 Agosti 1982) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Ureno.
Alichezea kilabu cha Chelsea Fc nchini Uingereza.