José de Jesús Corona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA MEXICO
José de Jesús Corona

José de Jesús Corona Rodríguez (alizaliwa 26 Januari 1981) ni mchezaji wa Mexico ambaye anacheza katika klabu ya Cruz Azul nafasi ya golikipa. Yeye alipata medali ya dhahabu ya Olimpiki. Kwa sasa ni nahodha wa timu ya Cruz Azul.

Corona alianza kazi yake katika Atlas mwaka 2002, na alikuwa golikipa muhimu kwa klabu hiyo. Mnamo 26 Februari 2003, katika msimu wa tano, Corona alifanya ligi yake baada ya kucheza dhidi ya Pumas na kuibuka kwa ushindi wa 2-1. Corona alicheza michezo 47 kutoka 2002 hadi 2004.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu José de Jesús Corona kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.