Jordan Nobbs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nobbs akiwa na Arsenal mnamo 2020

Jordan Nobbs (alizaliwa 8 Disemba 1992)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uingereza ambae anachezea klabu ya Aston Villa[2] inayoshiriki Ligi kuu ya Wanawake (WSL) . Awali alichezea Sunderland na Arsenal [3]. Nobbs amechezea timu ya taifa ya wanawake ya Uingereza katika viwango vya vijana na wakubwa.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-02. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  2. Aston Villa Football Club. "Aston Villa Football Club | The official club website". Aston Villa Football Club. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  3. "Women's CL: ZFK Masinac 1-3 Arsenal - Report | Fixtures & Reports | Fixtures | Arsenal.com". web.archive.org. 2010-09-26. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-09-26. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  4. Kessel, Anna (2013-03-16), "Like father, like daughter but Jordan Nobbs is hitting the big time", The Observer (kwa en-GB), ISSN 0029-7712, iliwekwa mnamo 2024-04-21 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jordan Nobbs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.