Nenda kwa yaliyomo

John Knox

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jonh knox)
John Knox alivyochorwa mwaka 1572.

John Knox (1513 hivi – 24 Novemba 1572) alikuwa Mskoti mwenye akili kali, mwanateolojia, na mwandishi ambaye alikuwa kiongozi wa madhehebu ya Wapresbiteri yaliyoenea nchini Uskoti katika karne ya 16.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.