Nenda kwa yaliyomo

Jonathan Kimetet arap Ng'eno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Prof Jonathan Kimetet arap Ng'eno (1937 - 12 Juni 1998) alikuwa mwanasiasa wa Kenya na mbunge wa eneo la Bureti katika Kaunti ya Kericho. Alihudumu katika vikao tofauti vya bunge kwa vipindi vitatu, viwili mfululizo na kimoja tofauti.[1] [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The men who listen but are called 'Mr Speaker'". The Standard (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-05-17.
  2. . 2008-10-28 https://web.archive.org/web/20081028212845/http://www.cmd.or.ke/images/Politics%20and%20Paliamenterians%20in%20Kenya.pdf. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2008-10-28. Iliwekwa mnamo 2020-05-17. {{cite web}}: Missing or empty |title= (help)