John Zefania Chiligati
Mandhari
John Zefania Chiligati (amezaliwa 14 Oktoba 1950) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania tangu mwaka wa 2000. Katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Chiligati ni Waziri wa Ardhi. Mwaka wa 1986 alipata shahada ya pili katika somo la uendeshaji (administration) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Chanzo
[hariri | hariri chanzo]- Wasifu ya Chiligati ktk tovuti ya Bunge Ilihifadhiwa 13 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine.
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
![]() |
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |