John Venn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha halisi ya John Venn.

John Venn (4 Agosti 18344 Aprili 1923) alikuwa mwana hisabati na mwanafalsafa wa Uingereza.

Ni maarufu kwa kubuni Jedwali la Venn, linalotumika katika fani mbalimbali.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Venn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.