John Mather
Mandhari
John Cromwell Mather (amezaliwa 7 Agosti, 1946) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa amechunguza kosmolojia. Mwaka wa 2006, pamoja na George Smoot, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Mather kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |