George Smoot

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
George Smoot

George Fitzgerald Smoot III (amezaliwa 20 Februari, 1945) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa amechunguza kosmolojia. Mwaka wa 2006, pamoja na John Mather, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Smoot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.