Joey B

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Darryl Paa Kwesi Bannerman-Martin, anayejulikana kwa jina la kisanii Joey B, ni msanii wa kurekodi muziki wa hip hop kutoka Ghana. Anajulikana sana kwa wimbo wake wa "Tonga".[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joey B kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.