Nenda kwa yaliyomo

Joan Nabirye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joan Nabirye
Nchi Uganda
Majina mengine Anita
Kazi yake Mchezaji

Joan Anita Nabirye (alizaliwa Julai 1, 1993) ni mchezaji mpira wa kulipwa kutoka Uganda ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Kenya Vihiga Queens FC[1], na timu ya taifa ya wanawake ya Uganda.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Vihiga Queens v Mamelodi Sundowns – East Vs South"