Joël Matip

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joel Matip akiwa na Liverpool.

Ayubu Joël André Matip (alizaliwa 8 Agosti 1991) ni mchezaji wa soka wa Cameroon ambaye anacheza katika klabu ya Liverpool F:C: na timu ya taifa ya Cameroon.

Alizaliwa huko Bochum, Matip alianza kazi yake na SC Weitmar 45 kabla ya kujiunga na VfL Bochum mwaka 1997. Baada ya miaka mitatu katika timu za vijana ya VfL Bochum, Matip alinunuliwa na Schalke 04 mwezi Julai 2000.

Mnamo tarehe 15 Februari 2016, Matip alitangaza kusaini mkataba wa miaka minne wa kujiunga na Liverpool kwa uhamisho wa bure, baada ya kumalizika kwa mkataba wake na Schalke.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joël Matip kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.