Nenda kwa yaliyomo

Jintana Kaewkao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jintana Kaewkao ni mwanaharakati wa mazingira nchini Uthai. Anajulikana kwa harakati zake dhidi ya ujenzi wa mitambo ya kuzalisha umeme katika kijiji chake cha Ban Krut, Prachaub Khiri Khan, Uthai.

Maisha yaawali

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 1982 Kaewkao alihamia Ban Krut, aliolewa hukohuko Ban Krut, akafungua duka dogo la mboga, na alifanikiwa kupata watoto watatu. Katika miaka yake ya awali, Kaewkao hakujulikana sana katika kazi yake, lakini aliendelea kujihusisha na harakati za kupinga mitambo ya umeme.[1][2]

  1. Schatz, Joseph. "Thai environmentalists pay for activism with their lives". Al Jazeera America. Iliwekwa mnamo 2021-10-23.{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)
  2. EJOLT. "Coal power plants in Ban Krut and Bo Nok, Prachuab Khirikhan, Thailand | EJAtlas". Environmental Justice Atlas (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-10-23.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jintana Kaewkao kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.