Nenda kwa yaliyomo

Jim Kyte

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

James Gregory Kyte (amezaliwa Machi 21, 1964) ni mchezaji wa zamani wa Canada wa kitaalam katika mchezo wa hoki ya barafu. Kyte aliweka historia kuwa mchezaji wa kwanza (hadi sasa na pekee) kiziwi katika ligi ya taifa ya magongo (NHL), akicheza michezo 598.[1]

  1. "The Hockey News: Backchecking: Backchecking: Tough guy Jim Kyte overcame handicap to make NHL". www.thehockeynews.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-31.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jim Kyte kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.