Nenda kwa yaliyomo

Jessie Murray

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jessie Margaret Murray (9 Februari 186725 Septemba 1920) alikuwa mtaalamu wa psychoanalysis na mwanaharakati wa haki za wanawake wa Uingereza.

Alizaliwa nchini India na alihamia Uingereza akiwa na umri wa miaka 13. Alisomea tiba katika Chuo cha Preceptors, Worshipful Society of Apothecaries, Chuo Kikuu cha Durham, na Chuo Kikuu cha London[1].

  1. Valentine 2009, pp. 145–146.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jessie Murray kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.