Nenda kwa yaliyomo

Jessie Ackermann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jessie Ackermann (4 Julai 185731 Machi 1951) alikuwa mwanamageuzi ya kijamii, mwanaharakati, mwanahabari, mwandishi na msafiri.

Alikuwa mmisionari wa awamu ya pili duniani aliyeteuliwa na Woman's Christian Temperance Union (WWCTU).[1]

  1. Oldfield, Audrey (1992). Woman Suffrage in Australia: a gift or a struggle?. Cambridge and Melbourne: Cambridge University Press. ku. 28. ISBN 978-0521436113.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jessie Ackermann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.