Jeshi la Misri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jeshi la Misri ni vikosi vya kijeshi vya nchi ya Misri.

Jeshi hilo ndilo kubwa katika Afrika na Mashariki ya Kati, likiwa na wanajeshi wa nchi kavu, wa baharini, wa angani na Jeshi la Wananchi.

Lilianzishwa mwaka 1922.