Jeshi la Kujenga Uchumi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (kwa kifupi JKUZ) ni kikosi cha ni jeshi lenye dhamira ya kuimarisha uchumi kwa kutoa mafunzo ya uzalishali,ufundi na Uzalendo. [1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar lilianzishwa tarehe 3 Machi 1977 na aliekuwa raisi wa pili wa Zanzibar , Aboud Jumbe Mwinyi Jeshi la Kujenga uchumi linatokana na kambi za umoja wa vijana zilizokuwa na malengo ya kuwaunganisha Wanzibar,kambi hizi za vijana zilianzishwa rasmi tarehe 3 Machi 1965 na raisi wa kwanza wa Zanzibar Abedi Amani Karume.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-06-12. Iliwekwa mnamo 2021-06-12.