Jesús León Santos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jesús León Santos ni mwanamazingira kutoka Mexiko.

Alipewa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 2008, kwa juhudi zake juu ya maendeleo endelevu ya kilimo katika mkoa wa Mixtec katika jimbo la Oaxaca.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "North America 2008. Jesús León Santos. Mexico. Sustainable Development". Goldman Environmental Prize. Iliwekwa mnamo 21 Novemba 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jesús León Santos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.