Jennifer Richard Shigoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jennifer Richard Shigoli (amezaliwa tar.) ni mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investments inayotengeneza pedi za bei nafuu ambazo zinaweza kutumika zaidi ya mara moja.

Pia ni Mkurugenzi wa Tanzania Institute of Manufacturing (TIM).

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Kitaaluma Jennifer ni mwanasheria na mwanadiplomasia.[1]

Alipata shahada ya kwanza ya Sheria akiwa Tumaini University, Dar es Salaam College.

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Amefanikiwa kushinda tuzo ya ujasiriamali ya ‘African Entreprenureship Award 2016’ kwenye kipengele cha elimu [2] [3]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jennifer Richard Shigoli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]