Jenna Wortham

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jenna Wortham
Amezaliwa Jenna Wortham
4 November 1982
Jina lingine Jenna
Kazi yake Mwandishi wa Habari

Kigezo:Tfm

Jenna Wortham
Jenna Wortham speaks at MoMA in 2016
Jenna Wortham akisema katika MoMA, 2016
BornNovemba 4 1982 (1982-11-04) (umri 41)
OccupationJournalist
Alma materUniversity of Virginia

[JennyDeluxe.com JennyDeluxe.com]

Jenna Wortham (alizaliwa 4 Novemba 1982)[1] ni mwandishi wa habari wa Marekani. Amekuwa akifanya kazi kama mwandishi wa habari za kitamaduni kwenye jarida la The New York Times.[2] Pia ni mtayarishaji wa podikasti ya "still processing" kwenye jarida la The New York Times.

Maisha ya mwanzo[hariri | hariri chanzo]

Wortham amekua huko Alexandria jimboni Virginia,[3] kisha akaanza masomo yake ya anthropolojia ya matibabu katika chuo kikuu cha Virginia akahitimu mnamo mwaka 2004.[4]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kuhitumu chuo, Wortham alihamia San Francisco, ambapo alijifunza kazi na jarida la San Francisco na jarida Girlfriend na aliandikia jarida la SFist,[5] Baadaye akawa muandishi wa habari za teknolojia na tamaduni wa jarida la Wired. Akajiunga na jarida la The New York Times mnamo mwaka 2008, akifanya kazi kama muandishi wa habari za teknolojia na biashara, kisha akahamia jarida la Times mnamo mwaka 2014;[6] Politico akanukuhu kwamba uajiri huo umeipa nguvu kubwa ya uhariri jarida hilo ikiambatana na wingi wa mashabiki wa Wortham kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Twitter ambapo ana mashabiki zaidi ya 530,000 kufikia mwezi disemba mwaka 2014.[7]

Kazi za Wortham zimekuwa zikionekana kwenye majarida mbalimbali Matter, The Awl,Bust,The Hairpin, Vogue,The Dallas Morning News, na jarida la The Fader na kwenye machapisho mengine mengi. Pi.co linataja kama mwandishi nadra anayeweza kuelezea tabia ya mabadiliko ya mtandao mpya.[5] mnamo mwaka 2012, Wortham alijumuishwa orodha ya Root 100.[8]Jarida la The Fader lilitaja moja ya uandishi wa Wortham kwenye kipengele cha The Shade Room iliyorushwa kwenye mtandao wa Instagram TMZ na kulijumuisha kwenye orodha yake ya The Best Culture Writing ya mwaka 2015."[9]

Kwa kuongezea kwenye kusifia kazi zake za uandishi wa habari za teknolojia, Wortham ametambulika kwenye ufafanuzi wake mijadala kadha wa kadha za utamaduni. Kwenye The Village Voice, Mallika Rao amemuelezea Wortham kama mtu mwenye kujua kuelelezea vyema uwanda wa teknolojia;tamaduni, na utambuzi kwenye uandishi wake akijaribu kujenga maana ya peke yake kwenye mtandao ambapo mara nyingi amekuwa akitoa taarifa zilizo sahihi. (A shimmering Lemonade essay prompted a thank-you note from the Queen herself, signed "Love, Beyoncé" and 'grammed by Wortham.)"[10] Habari nyingi kwenye uandishi wa Wortham zimekuwa zikijumuisha utambuzi wa queer[11] pamoja na jinsia na taifa fulani kwenye televisheni.[12][13]Kwenye jarida la Rookie, Diamond Sharp amesifia uandishi mahiri wa Wortham akielezea namna anavyotumia ukarimu akiwa duniani.Hana muhtasari ambayo ,hii ni moja kati uelewa muhimu katika nyanja ya habari[14] Kazi za Wortham zimekuwa zikionekana kwenye antholojia kama Never Can Say Goodbye: Waandishi wa Their Unshakable Love for New York mnamo mwaka (2014) na 'An Experience Definitely Worth Allegedly Having: Habari za Safari kutoka kwa Hairpin mnamo mwaka (2013).[15]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "I’m Nov 4 and this is very much my curse as well". Twitter (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-11-11. 
  2. Johnson, Eric. "Meet the New York Times' Jenna Wortham before she reinvents herself again", Re/code Media with Peter Kafka, April 28, 2016. 
  3. Polsky, Sarah. "Jenna Wortham", Curbed, March 1, 2016. Retrieved on 2021-05-26. Archived from the original on 2016-08-18. 
  4. "Notable Alumni". University of Virginia. Iliwekwa mnamo 2016-06-18. 
  5. 5.0 5.1 Verhoeve, Wesley. "Jenna Wortham", Pi.co. 
  6. Roush, Chris. "NYTimes tech writer Wortham joining NYTimes Magazine", Talking Biz News, December 8, 2014. 
  7. Barr, Jeremy. "Jenna Worth joining New York Times Magazine", Politico, December 8, 2014. 
  8. "The Root 100 – 2012", The Root, 2012-01-01. (en-US) 
  9. "The Best Culture Writing Of 2015", The FADER, December 22, 2015. 
  10. "Tune In to Pineapple Street's Podcasting Revolution", Village Voice, 15 February 2017. 
  11. Ryan, Hugh. "Why Everyone Can’t Be Queer", Slate, July 14, 2016. 
  12. Holmes, Anna. "White "Girls"", The New Yorker, April 23, 2012. 
  13. Rao, Mallika. "Telling a Different Story About Africa", The New Yorker, April 16, 2016. 
  14. "Why Can’t I Be You: Jenna Wortham", Rookie Magazine, September 29, 2016. 
  15. "Jenna Wortham". www.goodreads.com. Iliwekwa mnamo 2020-11-08. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jenna Wortham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.